
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt.Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege Songea Mkoani Ruvuma tayari kwa Kampeni za Uchaguzi Mkuu leo September 21,2025 Mkoani humo. Dkt. Samia amepokelewa na Mgombea mwenza wake Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi.







No comments:
Post a Comment