
Mgombea wa Nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na wananchi wa Kiembe samaki Visiwani Zanzibar mara baada ya kuwasili Visiwani humo Septemba 14, 2025 kwaajili ya kuendelea na kampeni za Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025. Dkt. Samia ametokea Mkoani Kigoma alipokuwa na mikutano ya Kampeni kwenye Ukanda huo wa Magharibi akitokea kwenye Mikoa ya Kusini Magharibi.












No comments:
Post a Comment