
Maelfu ya Wananchi wa Kazuramimba, Uvinza Mkoani Kigoma waliohudhuria mkutano wa kampeni za uchaguzi Mkuu za Mgombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi Septemba 13, 2025.


















Wananchi wa Kasulu Mkoani Kigoma wakiwa kwenye mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu za Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mgombea Urais wa Jamhuri ya ...
No comments:
Post a Comment