Wananchi wa Kasulu Mkoani Kigoma wakiwa kwenye mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu za Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) leo Jumamosi tarehe 13 Septemba, 2025.Dkt. Samia yupo Mkoani humo kwaajili ya kueleza mafanikio ya utekelezaji wa shughuli mbalimbali za maendeleo katika kipindi cha miaka minne ya Uongozi wake pamoja na kueleza ahadi za Chama Cha Mapinduzi kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Saturday, September 13, 2025
New
KASULU MJINI WAJITOKEZA KWA WINGI KAMPENI ZA DKT. SAMIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment