MAELFU YA WANANCHI WA NDANDA WAMLAKI DKT. SAMIA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Wednesday, September 24, 2025

MAELFU YA WANANCHI WA NDANDA WAMLAKI DKT. SAMIA


Maelfu ya wananchi wa Ndanda Mkoani Mtwara waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Viwanja vya Sheli ya zamani leo Septemba 24, 2025.

No comments:

Post a Comment