MAFINGA YAANDIKA REKODI, MAPOKEZI MAKUBWA YA KAMPENI ZA DKT. SAMIA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Saturday, September 6, 2025

MAFINGA YAANDIKA REKODI, MAPOKEZI MAKUBWA YA KAMPENI ZA DKT. SAMIA

Maelfu ya wapigakura, wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM pamoja na wananchi wa Mafinga Mjini, Wilayani Mufindi Mkoani Iringa wakiwa kwenye picha tofauti wakati wa kumlaki na kumsikiliza Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan, anayeendelea na Mikutano ya Kampeni Mkoani Iringa leo Jumamosi Septemba 06, 2025. Uchaguzi Mkuu wa Kumchagua Rais, Wabunge na Madiwani unatarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025. Leo Dkt. Samia ameingia Mkoani Iringa akitokea Mkoani Njombe akiwaeleza Watanzania mafanikio ya miaka minne ya Uongozi wake pamoja na mipango na ahadi zake kwa miaka mingine mitano ijayo ikiwa Watanzania watampa ridhaa ya kuwaongoza tena.




No comments:

Post a Comment