MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM, DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIWA KATIKA KAMPENI - NUNGWI, ZANZIBAR - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Thursday, September 18, 2025

MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM, DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIWA KATIKA KAMPENI - NUNGWI, ZANZIBAR

 

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano mkubwa wa kampeni uliofanyika leo, tarehe 18 Septemba, 2025, katika Jimbo la Nungwi, visiwani Zanzibar.

No comments:

Post a Comment