
Shamra shamra za wananchi wa Nungwi, Unguja Visiwani Zanzibar leo Alhamisi Septemba 18, 2025 kwenye Kampeni za Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan. Dkt. Samia ambaye anafanya Mkutano wake wa pili visiwani humo ameambatana na Mgombea wa Nafasi ya Urais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi.












No comments:
Post a Comment