Mamia ya wananchi wa Mombo Mkoani Tanga wakiwa wamejitokeza kwa wingi leo Jumanne Septemba 30, 2025 kwenye Viwanja vya Stendi Mombo ili kumsikiliza Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye anaelekea Mkoani Kilimanjaro kuendelea na kampeni zake za uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Tuesday, September 30, 2025
New
WANANCHI WA MOMBO WAJITOKEZA KWA WINGI KWENYE KAMPENI ZA DKT. SAMIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)












No comments:
Post a Comment