
Maelfu ya Wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa wameujaza uwanja wa Michezo wa CCM Kirumba Jijini Mwanza leo Jumanne Oktoba 28, 2025 wakati wa ufungaji wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan, anayetarajiwa kumenyana na wagombea wa Vyama vingine vya siasa katika uchaguzi Mkuu wa kesho Jumatano Oktoba 29, 2025.






No comments:
Post a Comment