DKT. SAMIA AKABIDHI ILANI KWA WAGOMBEA UBUNGE WA KAGERA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Wednesday, October 15, 2025

DKT. SAMIA AKABIDHI ILANI KWA WAGOMBEA UBUNGE WA KAGERA


Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhi Ilani ya Uchaguzi Mkuu kwa wagombea wa nafasi za Ubunge kwenye Majimbo ya Mkoa wa Kagera leo Jumatano Oktoba 15, 2025 kwenye Viwanja vya Bashungwa, Kayanga Wilayani Karagwe Mkoani Kagera.


No comments:

Post a Comment