DKT. SAMIA AKABIDHI ILANI KWA WAGOMBEA UBUNGE KAGERA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Thursday, October 16, 2025

DKT. SAMIA AKABIDHI ILANI KWA WAGOMBEA UBUNGE KAGERA



Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhi ilani ya uchaguzi kwa Wagombea Ubunge wa Majimbo na Viti maalum Mkoa wa Kagera leo Alhamisi Oktoba 16, 2025 mara baada ya kuhitimisha Mkutano wake wa Kampeni Bukoba Mjini kwenye Uwanja wa Kaitaba.









No comments:

Post a Comment