DKT. SAMIA AKABIDHI ILANI KWA WAGOMBEA UBUNGE WA NKASI - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Saturday, October 18, 2025

DKT. SAMIA AKABIDHI ILANI KWA WAGOMBEA UBUNGE WA NKASI


Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwakabidhi Ilani ya Uchaguzi baadhi ya wagombea wa nafasi za Ubunge kwenye Majimbo ya Mkoa wa Rukwa mara baada ya kuwahutubia wananchi wa Namanyere, Nkasi mkoani humo leo Jumamosi Oktoba 18, 2025.

No comments:

Post a Comment