Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwakabidhi Ilani ya Uchaguzi baadhi ya wagombea Ubunge wa Viti maalumu na wa Majimbo mbalimbali ya Mkoa wa Rukwa akiwemo Mgombea Mwenyeji Ndugu Aeshi Hilal leo Oktoba 19, 2025, Sumbawanga Mjini Mkoani Rukwa mara baada ya kuwahutubia wananchi wa Sumbawanga Mjini kwenye Viwanja vya Kizwite. Dkt. Samia amehitimisha Ziara ya Kampeni Mkoani humo leo.
Sunday, October 19, 2025
New
DKT. SAMIA AKABIDHI ILANI KWA WAGOMBEA UBUNGE WA RUKWA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment