DKT. SAMIA AKABIDHI ILANI KWA WAGOMBEA UBUNGE MKOA WA PWANI - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Monday, October 20, 2025

DKT. SAMIA AKABIDHI ILANI KWA WAGOMBEA UBUNGE MKOA WA PWANI


Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, akikabidhi Ilani ya Uchaguzi kwa Wagombea Ubunge wa Majimbo na Viti Maalumu Mkoa wa Pwani akiwemo Mgombea Ubunge Mwenyeji Mhe. Abdallah Ulega ambaye pia ni Waziri wa Ujenzi, leo Jumatatu Oktoba 20, 2025 mara baada ya kuhutubia na kuomba kura kwa wananchi kwenye Mkutano wa hadhara wa Kampeni uliofanyika leo Wilayani Mkuranga Mkoani Pwani.



No comments:

Post a Comment