
Umati Mkubwa wa wananchi na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani, wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye Mkutano wa Mwisho wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan Mkoani humo leo Jumatatu Oktoba 20, 2025.





No comments:
Post a Comment