DKT. SAMIA AKABIDHI ILANI KWA WAGOMBEA UBUNGE WA ILALA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Wednesday, October 22, 2025

DKT. SAMIA AKABIDHI ILANI KWA WAGOMBEA UBUNGE WA ILALA



Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhi Ilani ya Chama hicho kwa Baadhi ya Wagombea wa nafasi ya Ubunge kwenye Majimbo ya Wilaya ya Ilala Mkoani Dar Es Salaam leo Jumatano Oktoba 22, 2025 mara baada ya kuhutubia na kuomba kura kwa wananchi wa Wilaya hiyo kwenye Mkutano wa Kampeni uliofanyika kwenye Viwanja vya kecha, Kinyerezi





No comments:

Post a Comment