DKT. SAMIA AKABIDHI ILANI YA CCM KWA WAGOMBEA UBUNGE WA MWANZA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Wednesday, October 8, 2025

DKT. SAMIA AKABIDHI ILANI YA CCM KWA WAGOMBEA UBUNGE WA MWANZA



Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwakabidhi Ilani ya Uchaguzi wagombea Ubunge wa baadhi ya Majimbo ya Mkoa wa Mwanza mara baada ya Mkutano wake wa Kampeni leo Oktoba 08, 2025 kwenye Viwanja vya Nyamagana, Mwanza Mjini.




No comments:

Post a Comment