
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Viwanja vya Halmashauri ya Bariadi Mkoani Simiyu kwaajili ya kuzungumza na wananchi wa Bariadi na kunadi sera na Ilani za Chama Cha Mapinduzi pamoja na kuomba kura kwa wananchi kuelekea uchaguzi Mkuu wa Jumatano Oktoba 29, 2025.



No comments:
Post a Comment