
Maelfu ya wananchi wa Bariadi Mkoani Simiyu waliojitokeza kwenye Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Ijumaa Oktoba 10, 2025 kwenye Viwanja vya Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi.




No comments:
Post a Comment