DKT. SAMIA ALIVYOWASILI MKOANI MWANZA KUENDELEA NA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Tuesday, October 7, 2025

DKT. SAMIA ALIVYOWASILI MKOANI MWANZA KUENDELEA NA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU


Mgombea nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi na Wananchi na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM leo Jumanne Oktoba 07, 2025 alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza kuendelea na Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho.

No comments:

Post a Comment