DKT. SAMIA ALIVYOWASILI SHEIKH AMRI ABEID JIJINI ARUSHA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Thursday, October 2, 2025

DKT. SAMIA ALIVYOWASILI SHEIKH AMRI ABEID JIJINI ARUSHA


Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi na wananchi wa Mkoa wa Arusha waliojitokeza kwa wingi leo Alhamisi Oktoba 02, 2025 kwaajili ya kuja kumsikiliza kwenye muendelezo wa Kampeni zake Mkoani Arusha kwenye Viwanja vya Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha.









No comments:

Post a Comment