Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan akiburudika na kucheza muziki pamoja na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM na wananchi wa Babati Mjini wakati wa Mkutano wa Kampeni zake kwenye Viwanja vya CCM Sabasaba Mkoani Manyara leo Jumamosi Oktoba 04, 2025.
Saturday, October 4, 2025
New
DKT. SAMIA KWENYE KAMPENI BABATI MJINI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment