Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhi Ilani ya Chama Cha Mapinduzi CCM 2025/30 kwa wagombea wa nafasi za Ubunge kwenye Majimbo ya Mkoa wa Manyara leo Jumamosi Oktoba 04, 2025 mara baada ya kuomba kura kwa wananchi wa Babati Mjini kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Viwanja vya CCM Sabasaba. Dkt. Samia amehitimisha mikutano yake ya Kampeni Mkoani humo.
Saturday, October 4, 2025
New
DKT. SAMIA AKABIDHI ILANI ZA UCHAGUZI KWA WAGOMBEA UBUNGE WA MANYARA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment