
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Kampeni za uchaguzi Mkuu kwenye Viwanja vya Kaitaba, Bukoba Mjini Mkoani Kagera leo Alhamisi Oktoba 16, 2025.


Na Witness Masalu- WMJJWM- Iringa. Wataalam wa Maendeleo ya Jamii wana jukumu la msingi la kuhakikisha kuwa jamii inaishi katika maadili iki...
No comments:
Post a Comment