DKT. SAMIA KWENYE KAMPENI ILALA, DAR ES SALAAM - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Wednesday, October 22, 2025

DKT. SAMIA KWENYE KAMPENI ILALA, DAR ES SALAAM



Picha za matukio mbalimbali zikimuonesha Mgombea wa nafasi ys Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Mkutano wake wa Kampeni za uchaguzi Mkuu kwenye Viwanja vya Kecha, Kinyerezi, Wilayani Ilala Mkoani Dar Es Salaam leo Jumanne Oktoba 22, 2025



No comments:

Post a Comment