Mamia ya wananchi wa Karatu Mkoani Arusha wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye Mkutano wa mwisho wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Ijumaa Oktoba 03, 2025 kwenye Viwanja vya Mnadani. Dkt. Samia mara baada ya Mkutano huu anatarajiwa kuwa na Mkutano mwingine wa Hadhara Hanang Mkoani Manyara.
Friday, October 3, 2025
New
DKT. SAMIA KWENYE MKUTANO WA KAMPENI KARATU MJINI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment