Maelfu ya wananchi wa Wilaya ya Karatu Mkoani Arusha leo Ijumaa Oktoba 03, 2025 wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumlaki na kumsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Viwanja vya Mnadani. Dkt. Samia anafanya Mkutano wake huu ukiwa ndiyo wa mwisho kwa Mkoa wa Arusha, akitarajiwa kupokelewa Mkoani Manyara leo, akianza na Kampeni zake kwenye Wilaya ya Hanang.
Friday, October 3, 2025
New
MAELFU WAMLAKI DKT. SAMIA KWENYE KAMPENI WILAYANI KARATU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment