DKT. SAMIA NA VIONGOZI WA VYAMA RAFIKI WA CCM KWENYE KAMPENI TEMEKE - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Thursday, October 23, 2025

DKT. SAMIA NA VIONGOZI WA VYAMA RAFIKI WA CCM KWENYE KAMPENI TEMEKE


Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Vyama Rafiki kutoka nchi mbalimbali mara baada ya kuhutubia wananchi katika uwanja wa TANESCO, Buza Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Oktoba, 2025.

Vyama hivyo rafiki ni ANC kutoka Afrika Kusini, CNDD- FDD kutoka Burundi, Chama cha Kikomunisti cha China- CCP, FRELIMO cha Msumbiji, NRM ya Uganda, SWAPO ya Namibia na ZANU PF kutoka nchini Zimbabwe.

Dkt. Samia anaendelea na Mikutano yake ya Hadhara ya Kampeni katika maeneo mbalimbali nchini kwaajili ya uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Jumatano ya Juma lijalo Oktoba 29, 2025.



No comments:

Post a Comment