DUNIA YATAMBUA MCHANGO WA DKT. SAMIA KATIKA MIRADI YA MAJI NCHINI - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Sunday, October 26, 2025

DUNIA YATAMBUA MCHANGO WA DKT. SAMIA KATIKA MIRADI YA MAJI NCHINI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa ameshikilia Tuzo ya Presidential Global Water Changemakers 2025 ambayo alitunukiwa tarehe 13 Agosti, 2025 Cape Town, nchini Afrika Kusini. Tuzo hiyo imewasilishwa kwake na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Mahmoud Thabit Kombo, Ikulu Tunguu Zanzibar tarehe 26 Oktoba, 2025. 

Tuzo hiyo ya Ulimwengu ya Marais wanaoleta Mabadiliko katika Sekta ya Maji imetolewa kwa kutambua uongozi bora na dhamira ya dhati katika kuanzisha na kuendeleza mipango na miradi ya Maendeleo katika Sekta ya maji nchini Tanzania.

No comments:

Post a Comment