
Umati mkubwa wa wananchi wa Kahama Mkoani Shinyanga wakiwa wamefurika kwenye Mkutano wa kampeni za Mgombea wa nafasi ya Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi Oktoba 11, 2025.








Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Anthony Mtaka,akizungumza katika Ibada ya Jumamosi katika Kanisa la Waadventista Wasabato (SDA) Njombe Mjini. ...
No comments:
Post a Comment