Maelfu ya Wananchi na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM wakiwa wamejitokeza kwa wingi leo Jumamosi Oktoba 11, 2025 kwenye Viwanja vya Kambarage Shinyanga Mjini Mkoani Shinyanha kwaajili ya kumsikiliza Mgombea wa Nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Saturday, October 11, 2025
New
KISHINDO CHA KAMPENI ZA DKT. SAMIA SHINYANGA MJINI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment