Maelfu ya wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Muleba Mkoani Kagera wakiwa wamejitokeza kwa wingi leo Jumatano Oktoba 15, 2025 kumlaki na kumsikiliza Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan anayeanza ziara ya Kampeni Mkoani humo ili kunadi sera na ilani ya Chama chake pamoja na kuomba kura za ushindi kuelekea uchaguzi Mkuu wa Jumatano Oktoba 29, 2025.
Wednesday, October 15, 2025
New
KISHINDO CHA WANA MULEBA, KAMPENI ZA DKT. SAMIA ZIKIBISHA HODI MKOANI KAGERA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment