
Maelfu ya wananchi wa Nyawilimilwa Wilayani Geita Mkoani Geita wakiwa wamejitokeza kwa wingi mapema leo Jumatatu Oktoba 13, 2025 ili kumlaki na kumsikilia Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan, anayeendelea na kampeni zake Mkoani humo kwa siku yake ya pili kuelekea kwenye uchaguzi mkuu wa Tanzania wa Jumatano Oktoba 29, 2025.








No comments:
Post a Comment