
Maelfu ya wananchi wa Temeke Mkoani Dar Es Salaam wakiwa wameujaza uwanja wa Tanesco Buza, Wilayani Temeke Mkoani Dar Es Salaam leo Alhamisi Oktoba 23, 2025 kwenye Kampeni za Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan.






No comments:
Post a Comment