MAELFU WAMPOKEA DKT. SAMIA VIWANJA VYA KAITABA, BUKOBA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Thursday, October 16, 2025

MAELFU WAMPOKEA DKT. SAMIA VIWANJA VYA KAITABA, BUKOBA


Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akilakiwa na maelfu ya wananchi na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wa Bukoba Mkoani Kagera, wakati akiwasili katika Viwanja vya Kaitaba leo Alhamisi Oktoba 16, 2025 wakati wa muendelezo wa kampeni za uchaguzi Mkuu wa Tanzania unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025.

No comments:

Post a Comment