MAELFU YA WANANCHI WA ILALA KWENYE KAMPENI ZA DKT. SAMIA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Wednesday, October 22, 2025

MAELFU YA WANANCHI WA ILALA KWENYE KAMPENI ZA DKT. SAMIA


Umati wa wananchi na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa wameujaza uwanja wa Kecha, Kinyerezi, Wilayani Ilala Mkoani Dar Es Salaam leo Jumatano Oktoba 22, 2025 wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan, anayeendelea na Kampeni zake Mkoani humo kwaajili ya kuinadi Ilani ya Chama chake na kuomba kura za ushindi kuelekea uchaguzi Mkuu wa Jumatano ijayo Oktoba 29, 2025.












No comments:

Post a Comment