MAHABA YA WANANCHI WA BUNDA MJINI KWA DKT. SAMIA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Thursday, October 9, 2025

MAHABA YA WANANCHI WA BUNDA MJINI KWA DKT. SAMIA



Akianza Kampeni zake Mkoani Mara kwenye Wilaya ya Bunda leo Alhamisi Oktoba 09, 2025, Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan amepokelewa na Maelfu ya wananchi wa Bunda Mjini, wakijitokeza kwa wingi kumsikiliza ahadi zake pamoja na utekelezaji wa Ilani ya CCM ya Mwaka 2020/25. Dkt. Samia amesisitiza umuhimu wa wananchi hao kujitokeza kwa wingi siku ya Upigaji kura hapo Oktoba 29, 2025, akisema ushindi wa Chama hicho utatokana na wingi wa wananchi hao kujitokeza kwao kupiga kura.








No comments:

Post a Comment