
Mgombea wa Nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhi Ilani ya Uchaguzi Mkuu kwa baadhi ya Wagombea Ubunge wa Majimbo ya Mkoa wa Mara leo Alhamisi Oktoba 09, 2025 mara baada ya kuhitimisha Mkutano wake wa kwanza mkoani humo, Mkutano uliofanyika Bunda Mjini.





No comments:
Post a Comment