Maelfu ya wananchi wa Jiji la Mwanza wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumlaki na kumsikiliza Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwenye Viwanja vya Nyamagana leo Jumatano Oktoba 08, 2025.
Wednesday, October 8, 2025
New
MAHABA YA WANANCHI WA JIJI LA MWANZA KWA DKT. SAMIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment