
Mamia ya wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kutoka Wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita wakiwa pembezoni mwa barabara ya Shinyanga kuelekea Geita tayari kwaajili ya Kumlaki na kumsikiliza Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumapili Oktoba 12, 2025







No comments:
Post a Comment