
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan alipozungumza na Umati wa Wananchi wa Kata ya Maganzo Wilaya ya Kishapu Mkoa wa Shinyanga leo Jumamosi Oktoba 11, 2025 kwenye Mkutano wa Kampeni Za uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Jumatano Oktoba 29, 2025.




No comments:
Post a Comment