
"Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ndani ya Taifa hili vimejipanga Vyema, tumevijengea uwezo wa kutosha, vimejipanga vyema na tupo salama wakati wote. Iwe wakati wa uchaguzi, iwe hakuna uchaguzi, tupo salama.
"Hivi vitisho vidogo vidogo wanavyovifanya, kama mnawalewa waulizeni. Sisi tupo salama wakati wote, na niwatoe hofu wananchi kwamba tokeni, kapigeni kura, tupo salama."- Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mgombea wa nafasi ya Urais wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania akizungumza na wananchi wa Ilala Mkoani Dar Es Salaam leo Jumatano Oktoba 22, 2025.
No comments:
Post a Comment