
Umati mkubwa wa wananchi na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM kutoka Musoma Mjini Mkoani Mara waliojitokeza kumsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan anayefanya Mkutano wa kampeni kwenye Viwanja vya Karume Mjini humo leo Alhamisi Oktoba 09, 2025. Dkt. Samia anatumia mikutano hiyo kueleza utekelezaji wa ilani ya 2020/25 pamoja na kunadi ilani ya CCM ya mwaka 2025/30.













No comments:
Post a Comment