WAKAZI WA LAMADI, SIMIYU WAJITOKEZA KWA WINGI KUMLAKI DKT. SAMIA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Thursday, October 9, 2025

WAKAZI WA LAMADI, SIMIYU WAJITOKEZA KWA WINGI KUMLAKI DKT. SAMIA


Mamia ya wananchi wa Kata ya Lamadi Wilayani Busega, Katavi wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye Viwanja vya Kituo cha Mabasi Lamadi kwaajili ya kumlaki na kumsikiliza Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Alhamisi Oktoba 09, 2025. Dkt. Samia atasimama na kuzungumza na wananchi hao wa Lamadi wakati akiwa njiani kuelekea Mkoani Mara kwenye muendelezo wa kampeni zake kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.











No comments:

Post a Comment