DKT. MWIGULU AKUTANA NA KATIBU MKUU WA TEC - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Thursday, November 20, 2025

DKT. MWIGULU AKUTANA NA KATIBU MKUU WA TEC

Waziri Mkuu, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Novemba 20, 2025 amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment