Jeshi la Polisi limewaachia kwa dhamana viongozi wakuu wa CHADEMA waliokuwa wanawashikilia, viongozi hao ni Mhe. John Heche (Makamu Mwenyekiti Bara) Mhe. Amani Golugwa (Naibu Katibu Mkuu Bara) Mhe. Godbless Lema (Mjumbe wa Kamati Kuu na Mhe. Boniface Jacob (Mwenyekiti Kanda ya Pwani).
Monday, November 10, 2025
New
VIONGOZI WA CHADEMA WAACHIWA KWA DHAMANA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment