Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge mteule wa Jimbo la Uyole, Mhe. Dkt. Tulia Ackson leo tarehe 10 Novemba, 2025 akishiriki zoezi la kujisajili lililofanyika katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma, kabla ya Mkutano wa Kwanza wa Bunge la Kumi na Tatu unaotarajiwa kuanza kesho tarehe 11 Novemba, 2025.
Vilevile, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Hamza Johari alishiriki katika zoezi hilo linalotegemewa kuhitimishwa leo.







No comments:
Post a Comment