
Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho Marehemu Jenista Joakimu Mhagama umewasili Mkoani Ruvuma kupitia Uwanja wa Ndege wa Songea leo Desemba 14, 2025 na kupokelewa na Waombolezaji mbalimbali, Viongozi wa Serikali na Chama Mkoa wa Dodoma pamoja na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi Tanzania (UWT) Mary Pius Chatanda (MCC).









No comments:
Post a Comment