
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega (Mb) amewasili Mkoani Ruvuma kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed leo tarehe 20 Disemba, 2025.
Katika ziara hiyo, Waziri Ulega atatembelea mradi wa ujenzi wa barabara ya Kitai - Amani Makolo - Luanda - Lituhi hadi Bandari ya Ndumbi (km 85) pamoja na ujenzi wa Daraja la Mkili (m 20) Mkoani humo.




No comments:
Post a Comment